Thursday, 25 May 2017

TCU: RASMI WAOMBAJI WA ELIMU YA JUU KUTUMA MAOMBI YAO MOJAMOJA VYUONI 2017/2018


   
 Tume ya vyuo vikuu nchini Tanzania imetoa muongozo ya namna ya kutuma maombi kwa ajili ya kujiunga na vyuo vya elimu ya juu kwa mwaka 2017/2018. Katika Tangazo lao ambalo wamelitoa wamebainisha kuwa katika mwaka huu wa masomo 2017/2018 waombaji wote watatuma maombi chuoni moja kwa moja mara tu watakapo tangaza. Aidha Tume ya vyuo vikuu imebainisha vigezo na sifa za muombaji kwa mwaka huu wa masomo ambapo kwa waombaji waliomaliza kidato cha sita wanatakiwa wawe na point 4.0 katika masomo matatu ya mchepuo. Ili kupata maelezo ya kina na mchanganuo wa vigezo FUNGUA HAPA

No comments:

Post a Comment