RASIFA TANZANIA BLOG inapenda kutoa ushauri kwa applicants ambao wamekosa round ya kwanza katika selection za vyuo vikuu kwa mwaka 2016/2017.Jambo kubwa ambalo limefanya walio wengi kukosa kuchaguliwa kwa awamu hii ya kwanza ni competition kuwa kubwa na si kwamba waombaji hawana sifa katika program na vyuo walivyochagua.
Katika awamu hii ya pili mnaombwa kuchagua vyuo ambavyo vina nafasi nyingi zaidi kwani competition ni kubwa zaidi na si kuomba tu chuo chenye watu wengi zaidi tu lakini pia mnashauriwa kuangalia na points zako kuwa unaweza kukompti na applicants wengine.
RASIFA TANZANIA BLOG inapenda kusisitiza kuwa usichague kozi ilimradi kozi lakini uchague kozi ambayo utaiweza na una malengo nayo,zaidi sana katika round hii ya pili mungu awe nanyi ili muweze kupata vyuo.
No comments:
Post a Comment