Mcheza tenesi namba 1 kwa ubora duniani kwa wanawake Serena Williams, amefanikiwa kuingia hatua ya robo fainali ya US Open kwa kushinda kwa seti 6-2,6-3 dhidi ya Yaroslava Shvedova katika mchezo wa raundi ya 4.
Serena anakuwa ameshinda mechi 308 katika Grand Slam, hivyo ndiye mchezaji pekee aliyeshinda mechi nyingi za michuano mikubwa, amempita Roger Federer ambaye ameshinda mechi 307.
Katika hatua ya robo fainali Serena atakutana na mwanadada Mromania Simon Halep
No comments:
Post a Comment