Tuesday, 13 September 2016

MPYA:TCU YATOA LIST YA WALIOFANIKIWA KUPATA VYUO ROUND YA KWANZA 2016/2017

Image result for tcu tanzania
Tume ya vyuo vikuu Tanzania imetoa rasmi list ya wale waliofanikiwa kupata vyuo kwa awamu hii ya kwanza na kufungua rasmi mfumo wa udahili kwa wale waliokosa katika awamu hii ya kwanza na wale waliochelewa kuomba kama walivyotangaza katika tangazo lao la tarehe 02 septemba 2016,kuona majina click link inayofuata
LIST YA WALIOPATA VYUO ROUND YA KWANZA 2016/2017

No comments:

Post a Comment