Friday, 12 August 2016

AFYA;MADHARA YA KUVAA KANDAMBILI MARA KWA MARA

Image result for kanda mbili
Katika majira ya joto, watu wengi hupendela kuvaa viatu vya kanda mbili, lakini wataalamu wa ugonjwa wa miguu wanatoa onyo kwamba kuvaa viatu vya kanda mbili mara kwa mara kunaweza kuiharibu miguu yako:
Kwanza, kanda mbili zilizoko kati vidole yako zinasugua ngozi na misuli yako palepale na kusababisha ugonjwa wa misuli ya miguu;
Pili, ukivaa viatu vya aina hiyo mara kwa mara, itasababisha utembee kwa hatua mfupi zaidi kuliko kawaida na hali hiyo itaharibu viungo vyako;
Na tatu, viatu vya kanda mbili haviwezi ku(fix your feet )vizuri na katika hali hiyo, ukitembea kwa muda mrefu, inawezekana kuharibu umbo wa miguu yako na hata viungo vyao.

No comments:

Post a Comment