Klabu ya West Ham inayoshiriki Ligi Kuu England, imekamilisha usajili wa mshambuliaji Simone Zaza kutoka Juventus ya Italia.
West Ham imetoa pauni milioni 4.3 ingawa dili hilo ni la pauni million 17.
Zaza alipata umaarufu mkubwa kati michuano ya Euro nchini Ufaransa baada ya kuingia dakika za nyongeza ikionekana ameingizwa kusaidia kupiga penalti lakini alikosa penalti baada ya kupaisha
No comments:
Post a Comment