Mafuta meupe ndani ya miili ya
binadamu yanatumiwa kuhifadhi nishati, na mafuta ya kahawia yanatumiwa
kuzalisha joto. Kwa watu wanene, kuyafanya mafuta ya kahawia yazalishe
joto jingi zaidi kunasaidia kupunguza uzito. Watafiti wa Chuo Kikuu cha
Leipzig cha Ujerumani wamegundua njia mpya ya kupunguza uzito kupitia
kupunguza mafuta kahawia.
Katika miaka mingi iliyopita, wanasayansi waliona mafuta ya kahawia yanafanya kazi nyingi zaidi katika miili ya watoto. Lakini utafiti uliofanyika katika miaka ya hivi karibuni unaonesha kuwa mafuta ya kahawia ndani ya miili ya watu wazima pia yanaweza kuamshwa, na baadhi ya mafuta meupe yanaweza kubadilishwa kuwa kahawia.
Watafiti walipofanya majaribio kwa kutumia panya, wamegundua kuwa kemikali iitwayo Phosphodiesterase 10A ndani ya mafuta ya mwilini. Kazi ya kemikali hiyo ikizuiliwa, mafuta ya kahawia yataamshwa, baadhi ya mafuta meupe yanabadilika kuwa kahawia, uzito wa panya utapungua kwa kiasi kikubwa, na uwezekano wa kupata ugonjwa wa kisukari utapungua.

No comments:
Post a Comment