Thursday, 11 August 2016
CLAUDIO RANIERI AONGEZEWA MKATABA LEICESTER CITY
Klabu ya Leicester City ya England jana ilitangaza rasmi kumuongezea mkataba wa miaka minne kocha wake raia wa Italia Claudio Ranieri, Leicester City wamemuogezea Ranieri mkataba wa miaka minne na atakuwa na Mabingwa hao watetezi wa Ligi Kuu Uingereza hadi 2020. Leicester City wamemuongezea mkataba Ranieri kutokana na kuipa Ubingwa wa Ligi Kuu England msimu uliopita kwa mara ya kwanza katika historia, Ranieri kaongezewa mkataba lakini kuhusu kama atetea taji lake msimu huu ni gumu kwake kusema.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment