
kwa mujibu wa tangazo lililotolewa na baraza la taifa la elimu ya ufundi tarehe 22/07/2016,baraza lilifungua mfumo wa udahili wa pamoja (CAS) katika awamu ya pili na kufungwa rasmi tarehe 5/08/2016.RASIFA TANZANIA inapenda kuwakumbusha wale wote ambao hawajafanya maombi,kukamilisha kabla mfumo haujafungwa rasmi leo usiku.
No comments:
Post a Comment