'Kuna vitu ambavyo nikifanya havina maadili,lakini wengine wakifanya ni jambo la kawaida'',alisema Mourinho.
Mkufunzi
huyo wa United ameongezea kuwa atamsajili mchezaji mzuri wa kiungo cha
kati katika siku chache zijazo na Pogba ni muhimu.''Kwa sasa tuna wachezaji 22,alisema.Tutakuwa na 23.Ni mchezaji wa Juve
hadi pale atakapokuwa rasmi nje''.Soko la uhamisho linafungwa tarehe 31
mwezi Agosti
''Tunajaribu kila tuwezalo kufunga soko letu la ununuzi kwa haraka iwezekanavyo''.
No comments:
Post a Comment