Chama cha soka cha Argentina (AFA)kimemteua kocha Edgardo Bauza kuwa kocha mkuu wa timu ya taifa.
Kocha
huyu anachukua nafasi iliyoachwa na Gerardo "Tata" Martino aliyejiuzulu
baada ya kumalizika kwa michuano ya kombe la Copa America.
AFA
walimtangaza kocha huyo baada ya klabu ya Sao Paulo kukubali kumuachia
kocha huyo kwenda kukinoa kikosi cha timu ya taifa ya Argentina.
Bauza,
mwenye umri wa miaka 58,alikua kocha mkuu mkuu wa klabu ya Sau Paulo
toka mwaka 2015 na kuisaidia kufika nusu fainali ya michuano ya Copa
Libertadores.
Makocha waliokua wakipewa nafasi ya kukinoa kikosi hicho ni Jorge Sampaoli Marcelo Bielsa
No comments:
Post a Comment