Saturday, 6 August 2016

PICHA:SHEREHE ZA UFUNGUZI WA MASHINDANO YA OLYMPIC NCHINI BRAZIL

Wanariadha wa Australia wakiingia katika uwanja wa MariccanaTakribani mataifa 200 yanashiriki katika mashindano haya ambayo yanafunguliwa leo rasmi katika uwanja wa Maricanna uliopo Brazil ambapo ndipo mashindano haya yanapofanyika.Sherehe hizo zimeanza kwa kurushwa mafataki huku washiriki katika mashindano hayo na mashabiki wakiendelea kumiminika katika uwanja huo.Wanariadha wa Ugirikibaadhi ya mashabiki waliohudhuria sherehe hizoBendera ya Brazil ikipepea nje ya ukumbi wa sherehe za ufunguzi wa michezo hiyoWanamichezo wa JamaicaWanariadha wa Afrika Kusini wakiimbia na mbwembweUwanja wa Mariccana
Ufunguzi wa michezo ya Olimpiki ya Rio2016

No comments:

Post a Comment