Mshambuliaji wa kimataifa wa Hispania anayeichezea klabu ya Deportivo Lucas Perez amewasili London akiripotiwa kuelekea kukamilisha dili lake na Arsenal.
Staa huyo ambaye ni miongoni mwa wachezaji waliokuwa wanaounda safu imara ya ushambuliaji ya Deportivo La Coruna, anaripotiwa kukaribia kujiunga na Arsenal kwa dau la usajili la pound milioni 17.
No comments:
Post a Comment