Saturday 6 August 2016

SHEREHE YA KUMBUKUMBUKU HIROSHIMA JAPAN MIAKA 71 ILIYOPITA



Maelfu ya watu katika mji wa Hiroshima nchini Japan wamehudhuria sherehe za kila mwaka kuadhimisha kuharibiwa kwa mji huo miaka 71 iliyopita wakati wa shambulizi la kwanza la bomu la nuklia.
Manusura ambao kwa sasa ni wazee walijiunga na watu wengine kusikia kengele ya amani eneo ambapo bomu la atomic la marekani lililipuka na kuwaua takriban watu 140,000
Waziri mkuu wa Japana Shinzo Abe ameahidi kujitolea kuhakisha kutokuwepo ulimwengu wenye silaha za nuklia.
Alipongeza matamshi ya rais wa marekani Barack Obama ambaye mapema mwaka huu alikuwa rais wa kwanza wa marekani kuzuru mji wa Hiroshima.





Image result for hiroshima bombing

Hiroshima

No comments:

Post a Comment