Wednesday, 17 August 2016
MANCHESTER CITY YATOA KICHAPO KWA BUCURESTI
Manchester City imeibuka na ushindi wa goli 5-0, dhidi ya Steaua Bucuresti katika mechi ya hatua ya Makundi ya michuano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya iliyochezewa uwanja wa wa Nationala nchini Romania
Man City wakiwa ugenini walifanikiwa kuanza kupata magoli kuanzia dakika ya 13 kupitia kwa David Silva, Sergio Aguero aliyefunga magoli matatu dakika ya 41, 78 na 89 ila goli la tatu lilifungwa na Nolito dakika ya 49.
Man City watarudiana na Steaua Bucuresti August 24 katika uwanja wa Etihad jijini Manchester.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment