Serikali ya Jamhuri wa Tanzania kupitia ubalozi wa Tanzania nchini Canada imepata mwaliko wa fursa za masomo ambazo ziko wazi kwa waombaji watakaokidhi vigezo,na ambao ni raia wa nchi za afrika kusini mwa jangwa la sahara (sub-saharani africa).
http://www.tcu.go.tz/images/documents/FURSA_ZA_MASOMO_CANADA.pdf
No comments:
Post a Comment